Hivi kwanini siku hizi wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa oparesheni? Au ni fashion wakuu?
=====================================
Wajawazito wanaoishi katika mikoa ya Njombe, Dar es Salaam na Iringa wametajwa kuvuka kiwango cha idadi ya kujifungua kwa njia ya upasuaji, hali inayoashiria...