Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu.
Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja).
Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari.
Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue.
Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu.
Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na...
Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk.
Wafanyikazi na wanawake walio katika harakati za kijifungua walikuwa miongoni mwa waliojeruhiwa, maafisa walisema.
Pavlo...
Hizi ni dalili za hatari wakati wa ujauzito.
Uchungu wa uzazi unaochukua muda mrefu sana
Uchungu wa uzazi wa zaidi wa saa 12 kwa mama aliyerudia kuzaa (mzoefu), au uchungu zaidi ya saa 24 kwa mama anayejifungua kwa mara ya kwanza ni hatari. Uchungu namna hii mara nyingi husababisha majeraha kwa...
Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.
Chanzo: Nipashe
Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj.
Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo mtu mzima majukumu ndo haya.
So nisaidie maswala muhimu kipindi kajifungua.
Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.