Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi
Jela au Uraiani
Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms
https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
Habari za humu wakuu, niko na swali hapa;
Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa...
Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo.
NB.
Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa.
Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men.
Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu...
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani.
Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi.
Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
Good Sunday Ladies And Gentlemen...
Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo...
..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.
Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line...
CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa.
CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja.
CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini.
Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya kufika Kampala kwa muda mfupi, lakini safari hii nimepata uzoefu mpana zaidi.
Japo kuna boda boda na...
Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi.
Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta.
Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine..
4 fundamental of life
i. Money and Power
ii. Sex
iii. Food and drink
iv. Umaarufu (fame)
Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala.
............
Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.