Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, ni wananchi wachache sana ambao wamejitokeza kwenda kujiandikisha. Nilipojaribu kuwahamasisha wakajiandikishe, nilisikitishwa na nilichoambiwa.
1. Wananchi wengi miongoni mwa niliowauliza wanatambua umuhimu wa...
Samaleko..
Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake.
Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika kule Mashambani ni ufirauni mtupu, wanaume wanajiuza Kwa Rangi Nyeupe kuliko hata wadada, So Sad...
Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao. Tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia ya KAWAIDA.
Zaidi ikiwa kuna wanafunzi wanaosoma masomo Saba (7) O'level (arts pure) kuna huduma...
Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy.
Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa.
Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa...
Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji kusaidiwa sana mitaji.
Ila nimesikitika kijana kushindwa kujua nahitaji nini hasa ili kilimo chake kipige...
Hii itakusadia pindi ukiwa nyumbani pekee yako ama mahala popote pasipo na msaada pamoja na kuokoa gharama.
Siongelei ule ufundi professional hapana.Ni ufundi ambao ni basic kwa ajili ya kuokoa jahazi ili mambo yaende (quick fix).
Ni kama kubadili koki ya maji iliyoharibika au umeamka asubuhi...
KWA ALIELIANZISHA NAOMBA KUJUA TUMWEKEE SANAMU WAPI
HAPA UNAWEZA KUSAIDIA FAMILIA YAKO KUISHI MIAKA MINGI
WAPO WALE WAZEE WA KAVU UKIONAA MAGONJWA YAKE NA MAPICHA PICHA NAKWAMBIA UNAKOMA HAKO KAMCHEZO
KWA WATOTO NAONA PIA WANASAIDIKA SANA SANA NA AMUNGU AZIDI KUWABARIKI WOTE
KILA LA KHERI
Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
Mzuka umepanda.
Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa.
USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare.
Zama za kupigana vita Ofisini zimesha wadia
The U.S. Army has formed a new unit to learn from Ukraine's experience with drones and...
Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno.
2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu
Asubuhi ya leo...
Habari Hongera na weekend!
Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.
Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
Habari wanajamii,
Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.
PMP® ni nini?
PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na...
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age.
Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani.
Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.