Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi.
Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.
3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka
Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua...
Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi
Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
Habari wakuu, mimi naishi mkoani (kanda ya ziwa). Wiki ijayo ninakwenda Dar kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Katika huo muda nitakaokuwepo, nitakuwa na muda wa free hivyo natamani kupata namna ya kuutumia. Mimi ni mtu ambaye nataka kuwekeza katika mradi wa kuku wa mayai/nyama, ningeomba...
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva?
Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za barabarani, mataa na sheria za barabarani. Natanguliza shukrani.
Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
MAKUBWA! ETI "WHO IS KNOW?" - "NANI ANAJUA?".
Ndugu zangu, kuuliza "Nani anajua?", hatusemi "who is know?".
Huwa tunasema, "who knows?".
Hivyo unapotaka kuuliza, "nani anajua?", wewe sema "who knows?".
NI MAKOSA KUSEMA:
1. Who is know?
2. Who is Knowing?
MIFANO YA SENTENSI:
1. Who knows to...
Elimu yetu inahitaji marekebisho makubwa sana tusiendelee kutoa elimu ya kuchora panzi tu tuendelee kutoa elimu kwa vitendo ili tusiendelee kuwa na vijana wengi waliokosa ajira mitaani.
Nilikua naamka usiku wa manane kuchora hii panzi kwa ajili ya mtihani, ila mpaka sasa sijaona application ya...
Wakuu habari zenu?
Natumai anaesoma post hii yu mzima wa afya kabisa ,Mungu aendeleee kukujali pumzi.
Kama kichwa juu hapo natamani kujifunza saikolojia ila sielewi nianzie wapi? vitabu gani nisome? au niweje?
Nahitaji ushauri wako msomaji.
Asante.
SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika.
Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea.
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi.
Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024).
Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi.
1...
Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja.
Haya mwenye makombe yake matano cha CAF CL amekuja kujifunza namna ya kuendesha timu ya mpira kwa ambaye hana...
Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata viongozi wa juu wanashangazwa na uozo uliopo huku chini
Ikimpendeza Muheshimiwa Waziri Mkuu atoe TAMKO...
VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
(KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo .
http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110
KANUNI/ VIGEZO VILIVYOTUMIKA
A. USHIRIKI WA MOJA KWA MOJA KATIKA VITENDO...
Uthubutu wao, utashi wao kamili wa kisiasa, ujasiri katika kujisimamia na kusimamia wengine, umakini wao katika kujipambania na kupambania wengine, uvumilivu wao na subra kwenye mazingira ya vitisho, dhuluma, dhihaka au manyanyaso ya aina zote katika mambo mbalimbali ambayo waliona ni uhuru na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.