kujifunza

  1. Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi

    Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi Jela au Uraiani Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
  2. Inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine? Inachukua muda gani?

    Habari za humu wakuu, niko na swali hapa; Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
  3. Tembea ufurahishe akili na ujifunze

    Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi na Kutembea Sehemu ambazo unaona unaweza Fika, Jana Na Leo Nipo Kabwe, MBEYA, nimefurahi kua hapa...
  4. B

    KAMA WAZAZI NA PIA WATOTO KUNA LA KUJIFUNZA HAPA.

    Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa.
  5. Wanawake wote humu mna la kujifunza hapa

    Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men. Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu...
  6. Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  7. Naomba Kuuliza, Sio Kwa Ubaya Lakini Ni Katika Kujifunza... Ni Kuhusu Jumamosi..

    Good Sunday Ladies And Gentlemen... Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo... ..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
  8. W

    Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre amp zake nicheck 0616462893

    ukiwa na idea hautapata shida Sana ila Kama hauna msingi wa umeme kabisa itachukua mda kidogo mpaka kukaa sawa
  9. Wahubiri na waumini kuna jambo la kujifunza hapa

    Nimemsikiliza mtumishi huyu, nimejifunza jambo muhimu sana katika kujiimarisha kiimani Nawe msikilize https://www.facebook.com/reel/8974835319238058
  10. Rais William Ruto anapaswa kujifunza kwa Mwakyembe

    Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
  11. Wazazi na walimu mnaweza kujifunza kupitia huyo mtoto!

    Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
  12. Mabinti, kuna la kujifunza hapa

    Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake. Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line...
  13. Tusipangiane maisha

    Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
  14. Pre GE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
  15. D

    CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  16. Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  17. A

    Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  18. Tutie bidii kujifunza Kingereza, lakini tusikidharau Kiswahili chetu

    Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya kufika Kampala kwa muda mfupi, lakini safari hii nimepata uzoefu mpana zaidi. Japo kuna boda boda na...
  19. Dini kama janga linalofukarisha wasiotaka kushtuka, kujifunza, kubadilika, kubuni , na kuchapa kazi

    Japo dini ni hazina tofauti na uganga wa kienyeji, upiga ramli, na utapeli, ni wachache wanaoelewa hivi. Hebu angalia namna dini zinavyotufanya waswahili tuwe maskini tukitajirisha wale waliozileta. Mosi, zina mfumo wa kuwatoa waumini kodi kwa njia haramu kama vile fungu la kumi, michango...
  20. Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

    Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine.. 4 fundamental of life i. Money and Power ii. Sex iii. Food and drink iv. Umaarufu (fame) Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala. ............ Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…