Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya Utoaji Elimu ya VVU/UKIMWI
Kwa mujibu wa Taarifa ya Polisi, baada ya upekuzi waliwakuta Watuhumiwa hao...
Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Singida Matha Gwau amesema;
"Tunamshukuru Mama Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujengea shule nzuri zenye miundombinu mizuri inayowawezesha watoto wa kike kupata elimu; Hivyo niwaombe sana wadogo zangu, watoto wangu msome kwa bidii...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.
Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo...
Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka
Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona.
Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na...
Kupenda wanawake ni jambo moja lakini kuweka hisia zako wazi wazi ni kitu kingine kabisa.
Wanaoweka hizi hisia wazi wazi mara nyingi wanakuwa ni vijana chini ya miaka 30, na hata humu ndani pamoja na mitandao mingine hiki ndicho kipimo natumia kumjua mtu bado ni mtoto au mtu mzima kiakili...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India...
Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake.
Jana, Kamati ya Maadili...
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football
Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma alizozitoa kwa team hiyo inapokea wageni ambao Simba ilikua ikicheza nao champion league na...
Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
Habari!
Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu.
Hii ni aibu na ukatili mkubwa.
Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira?
Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
Serikali yetu kwa sasa imewapa uhuru sana kitengo cha usalama mpaka imefikia wakati wanavuka mipaka na kushirikiana na wezi au na watu wengine watenda maovu. Polisi kama tunavyoelewa ni kulinda raia na mali zao lkn leo imegeuka imekuwa kuonea raia na kunyang'anya mali zao.
Imagine Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.