kujinyonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Dodoma: Waomba wauzike mwili wa rafiki yao anayedaiwa kujinyonga kituo cha polisi

    Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea? ======= Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike. Kifo cha...
  2. Roving Journalist

    Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Mwalimu wa Shule ya Sekondari Tanga, iliyopo Mkoani Tanga, Emmanuel Jerome (32), anadaiwa kumnyonga mke wake, Lucy Nshoma (34), katika nyumba ya kulala wageni mkoani Rukwa, kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kamba juu ya mti siku moja baadaye Mkoani Katavi...
  3. Lady Whistledown

    Ndugu wa Mwanamke aliyedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu Mburahati walifungulia kesi Jeshi la Polisi

    Ndugu wa mwanamke anayedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu jijini Dar es Salaam wameliburuza mahakamani Jeshi la Polisi na Hospitali ya Taifa Muhimbili wakitaka uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo. Stella Moses (30) alifariki usiku wa Desemba 20, 2020 akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi...
  4. Notorious thug

    Ni ngumu sana mtuhumiwa kujinyonga mahabusu au gerezani

    Poleni na majukumu naomba nigusie machache kuhusu hili tukio la mtuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara wa madini kudaiwa kujinyonga akiwa mahabusu. Mahabusu ni chumba au jengo kama bweni ambalo mara nyingi linakua na madirisha mawili kwa juu na mlango mmoja wa chuma mengine mbao...
  5. Teko Modise

    Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

    Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae! Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam. Pia soma Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa...
  6. B

    Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa mauaji ya mfanyabiashara alikutwa mahabusu akiwa amejinyonga tarehe 22 Jan 2022

    Askari mmoja Kati waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana alijinyonga ==== Askari huyo alijinyonga Januari 22 mwaka huu 2022 kwa kutumia tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa...
  7. MK254

    Polisi Tanzania kuanza msako wa kuwakamata wanaotaka kujinyonga, ole wako ukionekana kama mtu uliyezongwa na maisha

    Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k. === Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
  8. mugah di matheo

    Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

    Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu. Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana...
  9. Kijogoodi

    Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  10. kedekede

    Najutia tukio hili: Sikuweza kumsaidia rafiki yangu akajinyonga

    Wakuu Salaam, Kama kichwa cha habari kinavyosema. Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana,alikuwa sio mgonjwa au sikujua anaumwa. Tulikuwa tukikutana ana tabasamu zaidi ya mimi na muda wote alikuwa anafuraha mpaka mimi alikuwa ananishauri akiniona sina furaha. Siku moja aliniambia...
  11. Miss Zomboko

    Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
Back
Top Bottom