Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha pia Credibility ya hii Media ya Bamaga Dar es Salaam ya...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, Ludovick Utouh amesema sio sawa kwa Watu kumshukuru Rais kwasababu anachokifanya ni Uwajibikaji na Fedha zinazotumika ni Fedha za Serikali na sio za Mtu.
Amesema "Kama kushukuru inabidi Kuishukuru Serikali lakini sio mtu, na sasa hivi kuna...
Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,
Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.
Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu...
Nimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena.
Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza na topic nyingine Alafu Wewe Km bwege unajibu hapo hapo na uko fasta wakati wao wakijisikia Alafu...
Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal.
Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma.
Hivi kwani...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa.
Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu...
Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake.
Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram...
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa ya Leo
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as...
Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
Humu kuna thread inasema "Rais Samia atoa shilingi bilioni 300 kukamilisha ujenzi majengo ya Serikali Dodoma". Hii ilishamiri zaidi kuanzia awamu ya tano na hii ya sita ninaona kama inaendeleza kwa kasi sana.
Utakuta hata Diwani na Mwenyekeiti wa Serikali za Mtaa anapoongelea fedha zilizotolewa...
Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
Ukiangalia mambo simple sana mfano tu mdogo kwamba sisi tunajipendekeza zaidi, Dar kuna Barabara ya Kenyata, inaitwa Kenyata drive ni kwa wadosi huko ni moja kati ya barabara bora muhimu kabisa Dar wakati Nairobi mtaa wa Nyerere haufiki hata km 2 na ukimuuliza Mnairobi wa kawaida wapi Mtaa wa...
Huyu alikuwa anaonekana kama mmojawapo wa wabunge wasio na maana sana bungeni. Lakini kwa jana ameonekana kama vile anaanza kutumika kama game changer! Wangeongea aliyanena jana akina Nape na Janauri basi mjadala ungekuwa sio mjadala tena bali mipasho.
Huyu EK ni nani? Je uwakilishi wake kwenye...
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi, kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa kauli hii nathubutu kusema haina tofauti na kauli ya aliyekua RC wa Mwanza Mr. Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.