Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake kinyumenyume na kwa spidi kali!.
Basi ndivyo hivyohivyo wadada wanaowaambieni wametulia wakikumbuka mashimo...
Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa katika ujana wangu uliojaa wasiwasi na mashaka, nilikutana na mwanamke mzee mwenye busara nyingi, aliyekuwa na umri wa miaka sabini na tano. Alinipa nasaha za kipekee ambazo nimezihifadhi moyoni mpaka leo:
"Katika ujana wetu wa miaka ya ishirini na thelathini...
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
🫵Wewe ni wewe katika maisha ni wewe ukilia ni wewe ukifurahi ni wewe ukibakwaa ni wewe maana kila kitu kipo juu yako ni wewe.
🫵Ukiwa bora ni wewe ukishindia dagaa ni wewe jikubali katika haya maisha ni wewe acha kudandia mtumbwi ambao sio wako wewe.
🫵Naongea na wewe maana unaiga maisha yana...
Politics.
Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar...
Wazazi, Walezi na Jamii wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utoaji wa malezi bora na elimu ya makuzi kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kujitambua, kujithamini na kujiepusha na uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia.
Rai hiyo imetolewa Desemba 27, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
Nawasalimia nyote katika jina la Nguvu Kuu iletayo uzima na kifo. Hoja yangu ni mbinu za nyakati hizi kuwafanya watoto wetu wapanue uwezo wa kujitambua na kujitegemea katika kukabiliana na dunia ya sasa.
Hapa naongelea wazazi wanaojua hasa nini maana ya kulea. Wanaotafsiri upendo...
Maendeleo ya mwanadamu yamebadilisha mfumo wake wa maisha imekuwa kila mtu ana hitaji maarifa katika utendaji wake wa kazi ili apate matokeo ya kufanikiwa. Kupata maarifa imekuwa kitu chakwanza kwenye ukuaji wa mtu yeyote. Tumekuwa bize na kutafuta maarifa ili kutimiza matakwa ya maisha yetu ya...
Salaam wote!
1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old......
Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi.
Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁
Sema sasa kuna...
Wanabodi,
Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
Kuna umuhimu mkubwa sana wa sisi, kuacha kutazama picha, ili tupate mwelekeo. Bali sisi wenyewe ndiyo tuwe hiyo picha. Nyumba iliyo chafu, hata ukileta vitu Safi ndani yake, bado itaendelea kuwa chafu tu. Maana yake, kujifunza kwa wengine ni vizuri, lakini itafaa sana, kama utaisafisha kwanza...
Mapungufu ya mtu, yanaonekana katika ubinadamu wake, kwa kile anacho kifanya, hata hivyo tuna uwezo wa kufanya yote, kuwa makamilifu bila ya kurudia makosa yoyote. Jifunze. Unapotaza mapungufu ya mtu, fanya bidii sana wewe kuyasawazisha mapungufu yake, na huu ndiyo uwajibikaji. Hivyo uwajibikaji...
Kwenye Forum Meeting inayojadili uwajibikaji kutoka ripoti ya CAG, JF imeulizwa na taasisi ya WAJIBU, kuwa Nini kifanyike kuhusu media na social medias kuhusu kuhabarisha umma juu ya uwajibikaji na kujitambua.
Msingi wa swali ni kwa kuwa uchambuzi wa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu...
Kwa kifupi naweza kusema kujitambua ni hali ya kuwa na ufahamu wa nini kuhusu wewe.Hali yako,umuhimu wako,malengo yako,hatima yako, changamoto zako, nk, hayo yote yanakuwa wazi kwako kwa kujitambua.
Dhana ya kujitambua kwa zama za sasa imekuwa kama kengele ya kanisa au azana ya msikiti, kwa...
Ni tukio la kwanza kabisa katika ardhi hiyo ambayo kila mtu ni mwanasheria kwa mjibu wa Rc Chalamila kuweza kutambua mchango wa kiongozi mteule wa Rais kwa kipindi alichowatumikia.
DC Machali ni Miongoni mwa ma DC wachache waliotumikia Wilaya hiyo bila kuyumbishwa na kundi lolote eidha...
Swalama wandugu
Leo report ya CAG imejadiliwa na kufanyika maazimio na kuna haja ya adhabu ya kunyonga wezi wa pesa za umma narudia tena KUNYONGA inasikitisha sana MTU anaiba sehemu A anahamishwa sehemu B tukishindwa kuwanyonga turudishe AZIMIO LA ARUSHA.
Unafanya nini.....?
Unataka kuwa nani...?
Una elimu gani....?
Unaishi vipi....?
Unaelekea wapi....?
Unaelekea na nani...?
Umejiandaa kutokufika...?
Umejiandaa kupokelewa ukifika...?
Unajua unachotaka...?
Unajua mahitaji yako...?
Unajitambua...?
Una marafiki wa aina gani...?
Wanamchango gani...
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo Ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe wa mambo, kwa Sasa hakuna mtu mwenye Akili Timamu na anayejiheshimu anayeweza akaanza kuiunga mkono Chadema
Kwa Sasa Ni chama kilichokosa dira na muelekeo, Ni chama kilichokosa uongozi wenye kufanya maamuzi ya mwisho na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.