ELIMU YA KUJITAMBUA KWA BINTI WA KITANZANIA.
Pamoja na juhudi za serikali kuwekeza zaidi katika kumpatia mtoto wa kike elimu ya darasani (shuleni ) lakini bado tunaona kuwa namba ya mabinti walioishia njiani na kukatisha masomo yao kwa miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikiongezeka siku baada ya...
Mambo sita ambayo hufanya amani ya ndani ya moyo ( nafsi ) wako iwe rahisi:
Kutoogopa mabadiliko
Kuwa mwema kwa wengine
Kua mwaminifu na wewe mwenyewe /Honesty with yourself
Fanya vitendo kwa makusudio
Kujitambua
Shukrani
MAMBO AMBAYO UNAPASWA UYAOMBE KATIKA MAISHA YAKO.
Anaandika, Robert Heriel.
Maisha yanaogopesha, yanatisha Kama nini, kila siku mambo yanabadilika, mtunzi wa maisha amefanikiwa katika Kazi yake kuhakikisha hakuna ajuaye hatua hata moja inayofuata, hakuna awezaye kubashiri filamu hii ya kutisha...
Soma kwa utulivu mkubwa...
Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujutia maisha...
Waafrika Kusini wameanza kujitambua, Operation Dudula inawataka wageni wote walioko illegally waondoke.
AK wameanza kujitambua!
Bango linasomeka“ wageni ni mzigo kwenye nchi yetu, wakwende“ !
good evening
Napenda leo niongelee kuhusu kujitambua watu wengi leo wameshindwa kutimiza ndoto zao kwasaababu ya kutojitambua na kukosa uthubutu watu wengi wana ndoto na malengo katika kupambana na umasikini lakini changamoto za watu wengi ni kukosa uthubutu mtu unakuta ana hela ya mtaji na...
wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli,
Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ?
ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
Magonjwa ya Akili ni Nini na husababishwa na Nini?
• Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Magonjwa ya akili yanaweza kusababishwa na sababu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.