Kuna umuhimu mkubwa sana wa sisi, kuacha kutazama picha, ili tupate mwelekeo. Bali sisi wenyewe ndiyo tuwe hiyo picha. Nyumba iliyo chafu, hata ukileta vitu Safi ndani yake, bado itaendelea kuwa chafu tu. Maana yake, kujifunza kwa wengine ni vizuri, lakini itafaa sana, kama utaisafisha kwanza...