UTANGULIZI
"Kila mwaka watu 703,000 wanajiua idadi ya wanaume ikiwa mara tatu ukilinganisha na wanawake" (Shirika la afya Duniani)
Pamoja na kuwa baadhi ya jamii zinaamini mwanaume kujiua ni hatua ya ujasiri; Mkazo/Msongo wa mawazo,Kukosa kazi,Kutengwa/Unyanyapaa,mizozo ( hasa katika...
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi.
Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate...
Safari Ya Maisha | Maisha Hayawezi Kuwa sawa | JE NI SAWA | Mwandishi Wa nakala ya safari Ya maisha anauliza | tatizo ni nini hasa je ni deko | au kutokukomaa kwa nafc na yale tunayopitia ? | malezi ya wazazi | kuiga katika mitandao | mihemko ? | Msongo wa mawazo | au tatizo ni nn hasa |...
Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na...
Miaka 10 iliyopita kuna kipindi nilikuwa nimejiandaa kujiua, nilipanga kabisa muda na siku, nilishaandika hadi barua.
Sintosahau 2013 nilivyotaka kujiua nikiwa nimeshamaliza form 4 matokeo yametoka na nimefeli, nyumbani nipo nipo tu kama zigo, wazazi walilalamika kachoma pesa kunisomesha kwa...
Matatizo ya Afya ya Akili: Watu wengi hufanya maamuzi ya kujaribu kujiua baada ya kupatwa na Msongo wa Mawazo au Sonona. Msongo wa mawazo unaweza kuleta maumivu makali ya kihisia
Kupitia Matukio mabaya: Mtu ambaye amepitia matukio mabaya ikiwemo Ukatili Utotoni, Ubakaji, Unyanyasaji wa kimwili...
Tyson Kilasi (32), Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye goli la kuchezea mpira wa miguu wa kijiji hicho huku pembeni akiwa ameacha nguo ya ndani ya kike.
Mwenyekiti wa kijiji cha Mawindi Kata ya Igima, Elias...
Wadau,
Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma...
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkazi wa Lalago wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu amewachinja watoto wake wawili kwa kisu kisha yeye mwenyewe kujiua.
Zaidi tazama video. 👇
Rais wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada ya kufunguliwa mashtaka ya "mauaji ya halaiki" kutokana na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mwaka 2019.
Mmoja ya mawakili wa Anez, Jorge Valda, amesema kiongozi huyo wa zamani ambaye...
Simple logic inaniongoza hivi:
1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained.
2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated
3. And to...
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) bwana Chiki mchoma Amesema Alex Korosso maarufu kama Simba ambaye amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kumuua kijana mmoja aitwaye Gift kwa kumpiga risasi alikuwa mtunza hazina wa kikundi hicho cha Waigizaji- Tanzania kilichopo Dar es Salaam...
Pumzika kwa amani ndugu Jonathan, member na mwanachama mkongwe wa JF.
Kwa wapenzi wa jukwaa la biashara kule kuna mtu mmoja najua mtamkosa sana, muhimu ni kutambua kuwa sisi ni mapito na duniani tunapita tu.
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Kazi iendelee.
Naomba niende moja kwa moja kwenye...
Utafiti uliofanywa na Watafiti kutoka Ottawa umebaini kulazwa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) huongeza hatari ya Mtu kutaka kujiua au kujidhuru baadaye.
Imeelezwa, kitendo hicho kinaweza kuwaathiri Wagonjwa kwani kukaa Hospitali wiki au miezi kadhaa kisha kupitia kupindi cha uponaji ili mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.