kujiunga act

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Inawezakana kweli maalim Seif kajutia kuungana na ACT wazalendo. Chama kimekufa Zanzibar

    Nilipotembelea Zanzibar hivi karibuni, nilibaki na maswali mengi kuhusu hali ya ACT Wazalendo. Chama ambacho kilikuwa na mvuto mkubwa wa kisiasa, kilichokuwa na mikutano yenye hamasa, matawi yenye shughuli na wanachama waliokuwa na matumaini makubwa, leo kinaonekana kupoteza nguvu zake kwa kasi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: G55 wakitaka kujiunga ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea tutawapokea

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akieleza namna chama hicho kilivyoweka milango wazi kwa mtu yeyote kutoka kwenye chama chochote cha siasa nchini aliyekuwa tayari kujiunganao
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenye kufahamu Sera na namna ya kujiunga na chama cha ACT Wazalendo

    Wandugu Habarini... Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho. Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo. Asanteni na Karibuni!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…