Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,512
- 2,508
Wandugu Habarini...
Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho.
Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo.
Asanteni na Karibuni!!