Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara.
Veronique Rabiot, mama wa Rabiot ambaye ni wakala wa mchezaji huyo anataka mteja wake alipwe mshahara wa Paundi Milioni 6...
Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa.
Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
001:
umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu.
Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..?
Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada ya kuhitimu elimu ya sekondari.
Kukosekana kwa elimu sahihi au kukosa muongozo mzuri wa kitu Cha...
Kiungo mshambuliaji Christian Eriksen amekubali kujiunga na Manchester United na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu.
Kocha wa United, Erik ten Hag alimuona kwa ukaribu mchezaji huyo wakati anafanya mazoezi ya kujiweka fiti katika timu ya Ajax, Januari 2022 baada ya kuwa nje kwa muda...
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU), Ursula von der Leyen amewasili Ukraine, leo Juni 11, 2022 kwa ajili ya mazungumzo ya taifa hilo kuelekea kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, ikielezwa kuwa hatima yake itajulikana wiki ijayo.
Von der Leyen amepanga kuwa na mazungumzo na Rais wa...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.
Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine?
Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!
Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi.
Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa Fethullah Gulen, ambaye anatuhumiwa kufanya jaribio la kuipunduka serikali ya Instanbul
FUATILIA...
Habari za wakati huu wana JF.
Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ?
2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI?
3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO?
- Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano?
4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
Baada ya Finland na Sweden ku apply kujiunga NATO tulitegemea Putin aje na vitisho vile vile dhidi ya ukrain, lakini kanywea. Kwanini?
Putin ni mtu muongo muongo sana. Putin anaitamani ukrain, angependa iunganishwe na Russia, ni vivyo hivyo kwa Moldova. Sababu ya kuingia kupiga mabomu ukrain...
Nchi ya Ukraine imeingia kwenye vita kwa nia ya kujiunga na kuongoza ushirikiano na umoja wa NATO jambo ambalo Urusi hawalitaki. Katikati ya vita hivi na madhara makubwa kwa nchi ya Ukraine yakishuhudiwa kote duniani,bado kuna mataifa jirani na Urusi kama vile Sweden na Finland zimekuwa...
Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya.
Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'.
Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
Achana na Wakenya wenye elimu yenye tija walioanza kuwekeza kwenye mabenki na IT na kuanza kutafuta masoko ya bidhaa zao za viwandani na wamewekeza kwenye madini.
Achana na Watanzania wa taqwa na classic waliowekeza muda mrefu kwenye usafiri wa mabasi ndani ya DRC, je wewe Mtanzania...
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha WW3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Afrikca tutatetewa na NATO au ndio basi.