kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X_INTELLIGENCE

    Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

    kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi...
  2. Replica

    Lionel Messi akubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili, kulipwa £ milioni 25 kwa mwaka

    Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka. --- ✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
  3. L

    China yakaribisha nchi nyingine kujiunga nayo kushirikiana na Afrika katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
  4. koboG

    Nifanye nini ili niweze kujiunga na jeshi?

    Nothing
  5. Mirr

    SoC01 Ushauri kwa wahitimu wa vyuo na wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali nchini

    Ndugu wana jukwaa amani iwe juu yenu! Hakika kama tujuavyo elimu imekuwa chanzo cha maarifa tangu kuanza kwa historia ya mwanadamu lakini pia katika baadhi ya vitabu vya imani vimeandika "MKAISHIKE ELIMU" kwa maana msisitizo nikwamba elimu yenye tija na malengo ina manufaa kwa jamii na...
  6. Dr. Wansegamila

    Ushauri kwa vijana waliomaliza form six wanaotarajia kujiunga chuo

    Wakulungwa habari za siku nyingi. Leo nimeonelea nitumie muda wangu kidogo kuandika kwa ajili ya kuwapa ushauri vijana wetu ambao ndio wamemaliza kidato cha sita, hasa wale ambao ndoto zao ni kuendelea na masomo ya chuo. Zifuatazo ni dondoo chache kutoka kwangu kaka yenu ambae nimebahatika...
  7. Suley2019

    Sirino wa Mamelodi Sundowns atamani kujiunga na Al Ahly

    Mshambuliaji wa Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini raia wa Uruguay Gaston Sirino ,30, ameeleza kusikitishwa kwake kwa vilabu vya Al Ahly na Mamelod kuchelewa kufikia muafaka wa uhamisho wake. “Naumia na ishu ya Mamelod Sundowns kushindwa kutimiza ndoto yangu ya kujiunga na Al Ahly, natumaini...
  8. C

    Ibenge atua Morroco kujiunga na Rs Berkane yadaiwa yuko na Djuma Shabani

    Mambo ni faya mambo ni motooo jameni, Florent Ibenge baada ya kujiuzulu kazi pale AS Vita katua kwenye mpunga mnene huko Morocco na inasemekana katika wachezaji alioingia nao hapo klabuni ni Djuma shabani. Kama habari ya Shabani itakuwa kweli itabidi Wallace karia ajiuzulu maana TFF wameizidi...
  9. Analogia Malenga

    Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  10. N

    Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  11. O

    Kuna umuhimu gani wa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria na asipojiunga nini kitatokea?

    Habari za muda huu wakuu, Samahani kuna selection hizi za jeshi za wanafunzi waliomaliza form six zimetoka na nimechaguliwa kujiunga na jeshi ila nimebakia njia panda. Nilikuwa nauliza kwani kuna umuhimu gani wa kujiunga na jeshi? Au kuna faida gani ya kujiunga na jeshi JKT na je nisipojiunga...
  12. FRANCIS DA DON

    Zanzibar Kujiunga na Dubai (U.A.E)

    Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly! =============== Update: 25/08/2021 kampuni ya xCassia toka Dubai inatarajia kuanza ujenzi wa jengo refu...
Back
Top Bottom