kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mystery

    Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  2. BARD AI

    Trevor Noah kujiuzulu kama mtangazaji wa The Daily Show

    Katika ujumbe wa video, alisema "alijawa na shukrani kwa ajili ya safari" lakini kwamba kulikuwa na "sehemu nyingine ya maisha yangu ambayo ninataka kuendelea kuifatilia". Mchekeshaji huyo mwenye miaka 38 amekuwa kwenye kipindi hicho tangu achukue mikoba ya Jon Stewart mnamo 2015. Alisema muda...
  3. Mag3

    Kutotimia kwa ndoto yangu jana ya Mwigulu Nchemba kutangaza kujiuzulu hakunishangaza!

    Toka siku niliposikia kuwa WIZARA ya Fedha ingetoaa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki, nimekuwa nikiota ndoto. Kuna ndoto na kuna ndoto. Kuna ndoto za usiku na kuna ndoto za mchana. Ndoto za usiku ama ni za kuleta tumaini au kutia hofu na ingawa kwa muda huweza kuleta tumaini...
  4. BARD AI

    Japan: Mkuu wa Jeshi la Polisi kujiuzulu kutokana na kifo cha Shinzo Abe

    Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
  5. Lady Whistledown

    Waziri wa Morocco ashinikizwa kujiuzulu kutokana na Kupanda kwa bei ya Mafuta

    Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika Licha ya Serikali kusisitiza kuwa inafanya kila iwezalo kupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na...
  6. JanguKamaJangu

    Hatimaye Rais wa Sri Lanka akubali kujiuzulu

    Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo hilo. Tamko hilo limetolewa saa kadhaa baada ya waandamanaji kuvamia makazi yake na kuingia hadi ndani...
  7. Richard

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  8. JanguKamaJangu

    Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
  9. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  10. Miss Zomboko

    Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

    Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
  11. John Haramba

    Bosi GSM atangaza kujiuzulu uenyekiti na ujumbe wa Taifa Stars

    Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars. Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan Chonjo ambaye amezungumza na wanaandishi wa Habari leo Jumatatu Februari 7, 2022. Ameeleza kuwa Ghalib...
  12. masopakyindi

    IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  13. Prof Koboko

    IGP Simon Sirro unasubiri nini kujiuzulu kwa kashfa hizi za Jeshi la Polisi?

    Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
  14. J

    Dkt. Tulia hakupaswa kujiuzulu kwenye mchakato wa kichama bali pale atakapochukua fomu kwa Katibu wa Bunge

    Dkt. Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT. Je, yuko sahihi. Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
  15. M

    TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  16. sajo

    Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  17. K

    Katibu wa Bunge alilikiri kupokea kopi ya barua ya kujiuzulu Ndugai aliyopeleka CCM

    Hii barua ndiyo tuliyopewa wananchi.
  18. Nyendo

    Mahakama imeamua kutuona watanzania hatuna ufahamu?

    Nakumbuka barua ya kujiuzulu ya Spika Ndugai iliandikwa kwenda kwa Katibu wa CCM na Nakala kwa Katibu wa Bunge. Leo Mahakama inatupilia mbali kesi ya kupinga kujiuzulu na kutuambia ilikuwa halali kwa sababu barua iliandikwa kwenda kwa katibu wa bunge na nakala kwa katibu wa CCM. Kuna nini...
  19. sajo

    Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  20. Linguistic

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya James Mbatia kupinga mchakato wa Job Ndugai kujiuzulu Uspika

    Kesi ya Kikatiba namba 2 ya Mwaka 2022 imeshaanza kusikilizwa hapa Mahakama Kuu upande wa Jamhuri unawakilishwa na Jopo la mawakili wafuatao. 1. Gabriel P Malata - Solister General (Wakili Mkuu wa Serikali) 2. Mack Lwambo 3. Mussa Mura 4. deodatusi Nyoni 5. Konsiano Lukosi 6. Hangi Chana 7...
Back
Top Bottom