kujivunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ***JE,UNAJUTIA TAALUMA/KAZI ULIYOISOMEA /KAZI UNAYOIFANYA, ?UNAFURAHIA NA KUJIVUNIA TAALUMA/ KAZI YAKO?***

    1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti? 2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure ya fani/ujuzi wa kazi...
  2. Je kuna kitu choche cha maana au kizuri watanzania wanaweza kujifunza au kujivunia toka CCM ya sasa na uchawa wake?

    Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...
  3. 4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

    Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi? Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
  4. P

    Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

    Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
  5. P

    Je naweza kukopesheka, ni suala la kujivunia?

    Kukua kiuchumi kuna kanuni zake. Na moja ya kanuni hizo ni kutokuwa na madeni yanayokuumiza. Nimesikia hivi karibuni mtu mmoja anasema yeye bado anakopesheka na hivyo kusherehekea kwa bado ana sifa hiyo. Je, kukopesheka ni suala la kushabihikia? Asante
  6. Wanasiasa wanawake wana cha kujifunza na kujivunia kwa hawa wachache

    Uthubutu wao, utashi wao kamili wa kisiasa, ujasiri katika kujisimamia na kusimamia wengine, umakini wao katika kujipambania na kupambania wengine, uvumilivu wao na subra kwenye mazingira ya vitisho, dhuluma, dhihaka au manyanyaso ya aina zote katika mambo mbalimbali ambayo waliona ni uhuru na...
  7. Kufurahia, kusemwa na hata kujivunia kabila lako sio kosa au dhambi

    Dhana ya makabila na ukabila huwa inafanyiwa upotoshaji kwa makusudi au kukosa uelewa hasa na wanasiasa kwamba watu kutambuana kwa makabila yao, kusemwa kwa makabila yao na kufurahiwa kwa makabila yao ni makosa makubwa au dhambi. Huu ni upotoshaji mbaya sana, kote duniani kuna nchi nyingi tu...
  8. Wana Yanga tuna cha kujivunia leo.

    Lazima tujipongeze bhana 😂😂
  9. Walimu wa leo wana kipi cha kujivunia?

    Mada inazungumzia kwa upekee uandishi na matamshi ya lugha ya kiswahili. Kingereza si lugha yetu hivyo sitalaumu sana huko. Ukiwasikiliza vijana wengi sasa unagundua hawajui hata hicho kiswahili kinachoongewa kila siku. Nakumbuka shule ya msingi tulisoma "imla". Kwa kingereza ni dictation...
  10. M

    Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

    Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
  11. Je ulifika third floor (30's) ukiwa huna unachomiliki wala kujivunia kama Mimi?

    Umaskini unatesa, umaskini unaaibisha sana, hakukosea aliyesema umaskini ni wa kuchukia na kukimbia, hakuna atakaye kujali mpaka utakapokua tajiri wazee. Ukiwa maskini kwenye ukoo watakuona kama mpiga kelele tu, imagine mtu mzima 30's napata kipato cha laki nne kwa mwezi, sina kiwanja wala mke...
  12. Lowasa aliuchukia Umaskini na hakuwahi kujivunia nao hadharani.

    Kwema Wakuu! Tofauti na viongozi wengine walio/wanaojivunia Umaskini kwenye majukwaa. Kwa kusema oooh! Mimi mtoto wa maskini, mara ooh! Nimelelewa katika mazingira magumu. Ili wapate huruma au ushawishi kwa watu. Kwa Lowasa hali ilikuwa tofauti kabisa. Mara kwa mara alitamka hadharani kuwa...
  13. Tunatangaza Kipindupindu kama vile ni kitu cha kujivunia

    Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia jikoni, wahudumu na vyooni. Hapo Kuna Afisa Afya kila Kata anapiga daily kuokota maokoto ya kumalizia...
  14. Simba mwacheni Robetino asuke timu ya kujivunia

    . ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba eti Robetino hafai.. Mkithubutu kumuachisha kazi Robetino basi mtegemee hata Namungo na geita gold...
  15. Kwanini Watanzania hatutaki kutangaza na kujivunia vya kwetu, ni ushamba?

    Kwanza niwapongeze Tamisemi kwa kuja na hii huduma ya kupata leseni mtandaoni. Haya ni mapinduzi makubwa sana kwenye uwezeshaji wa biashara. Lakini nina kero moja amabyo kijuu juu inaweza kuonekana ndogo lakini ni kubwa sana. Kwa nini mmetumia jina na nembo ya ndege tausi. Nilidhani TAUSI ni...
  16. Ujana na kujivunia mafanikio

    Asalaam wana wa JamiiForums, husikeni na kichwa cha habari. Sote twafahamu kila mmoja anafanya kila namna ili kufikia hatua ya mafanikio na sio hivyo tu kila mmoja ana namna yake ya kutafsiri mafanikio. Kwenye mada yangu nitaangazia mafanikio ya maisha zaidi maisha ya kawaida katika kuweza...
  17. Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

    Binafsi sioni ajenda ambayo aliisimamia yeye kama Waziri Mkuu na ikafanikiwa. Hakuna Mkoa utaenda au nchi kwa ujumla ukakuta mtu anasema hii imefanyika kwa sababu ya Majaliwa. Anayejua anijuze. Mzee pinda anakumbukwa kwa kilimo kwanza, Lowassa shule za Kata.
  18. Ahmed Ally: Simba hatuna cha kujivunia sana maana hatujapata tulichokihitaji

    Tuzo zilizotolewa jana zimehitimisha rasmi msimu wa 2022/2023 Tuwapongeze waliotwaa Ubingwa na waliopata Tuzo, Na kwa kipekee kabisa tuwapongeze wasimamizi wa ligi pamoja na waaandaji wa Tuzo. Kwetu Simba tuwapongeze nyota wetu waliotwaa tuzo hakika wametuheshimisha Kiujumla kama timu hatuna...
  19. Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

    Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa. Ndugu Watanzania tuwakatae...
  20. Moja ya ubunifu bora ambao watanzania tunatakiwa kujivunia ni michoro ya Tingatinga

    Hii ni kazi ya ubunifu ya watanzania wenyewe. Wajapan wakisema wana Anime sisi tunasema tuna Tingatinga. Animationa za ubongo kids wanatumia hii style. Itapendeza kuona watu wengi, hasa michoro ya vitabu, comics, katuni na animations wanatumia hii style.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…