Vincent Aboubakar ndiye mwamba aliyewezesha rekodi ya timu ya kwanza kutoka Afrika kuifunga Brazil tangu kuumbwa kwa uso wa dunia.
Licha ya ushindi huo, Cameroon haijafanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora, lakini mchango wa mwamba huyo hautosahaulika ndani ya kikosi hicho.
Chanzo: tbc_online...
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania...
Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa anayo mengi ya kujivunia kwa timu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Golf ya Wanawake (TPDF Lugalo Golf Club) yakiwemo ya kuitangaza Tanzania ndani na nje ya nchi. Timu hii imeendelea kufanya...
Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.
Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.
Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni...
Na Pili Mwinyi
Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
Tanganyika kuna mengi ya kujivunia ukiachana na viongozi butu wasio na maono wala hekima.
Lakini, swali langu kama linavyojieleza hapo juu, wenzetu wazanzibari wana kipi cha kujivunia tofauti na fukwe nzuri ya bahari, utamaduni wa kuvutia, labda, na muungano na Tanganyika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.