kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msela Wa Kitaa

    Merz amwalika Netanyahu Ujerumani licha ya hati ya kukamatwa na ICC

    Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuitembelea Ujerumani. Merz amesema atatafuta njia ila kuhakikisha kuwa kiongozi huyo wa Israel...
  2. Mateso chakubanga

    Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  3. D

    Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  4. Yoda

    Marekani yaweka dau nono la $25M kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro

    Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism). Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea...
  5. Mindyou

    Tanga: Waziri Aweso aagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa mradi wa maji Kwa Msisi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa Mradi wa Maji Kwamsisi, katika kata ya Kwamsisi ili uchunguzi ufanyike kutokana na kuhisiwa vitendo vya ubadhirifu wa fedha zilizokusanywa kutokana na malipo ya wananchi. Waziri Aweso ametoa agizo hilo siku ya Jumatatu Desemba 23...
  6. Ibun Sirin

    Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  7. Waufukweni

    Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  8. Full charge

    KWANINI RAIA TULIPE GHARAMA ZA MTUHUMIWA KUKAMATWA?

    Wadau habari za muda huu Hili suala la Polisi kutuomba gharama za kumkamata mtuhumiwa kisheria likoje? Kwanini gari la polisi halina mafuta muda wote mpaka pale tu raia atakapoenda kuhitaji huduma itakayohusisha ukamataji unaotakiwa gari ndiyo aombwe pesa za kutia mafuta? Je kodi na faini...
  9. Mi mi

    PKK/YPG wameanza kukamatwa huko Syria

    Nini hatima ya PKK/YPG huko Syria ?
  10. Mindyou

    Wakili Peter Madeleka aripotiwa kushikiliwa na Jeshi La Polisi muda mfupi baada ya kutangaza kupokea simu ya Faustine Mafwele

    Wakuu, Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi. Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police - Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa ya mtandao ambayo hajaelezwa. Mapema leo aliitwa polisi kwamba...
  11. 5523

    Israel kukata rufaa dhidi ya vibali vya ICC vya kukamatwa kwa Netanyahu na Gallant

    Wakuu, Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant. Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
  12. Nyendo

    LGE2024 Shinyanga: Kura bandia zadaiwa kukamatwa

    Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule. Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata. Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye...
  13. The Watchman

    LGE2024 ACT Wazalendo yadai viongozi wake kutekwa na kukamatwa, haya yataisha lini?

    Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali matukio kiliyoyaita ya kutekwa, kukamatwa, na kutishiwa kwa viongozi wake katika maeneo mbalimbali nchini, huku kikitaka hatua za haraka zichukuliwe kuhakikisha usalama wao. Rahma Mwita, Msemaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa ACT Wazalendo ameeleza...
  14. U

    Ayatollah Khamenei asema Netanyahu anastahili adhabu ya kifo na siyo kukamatwa

    Iran’s Khamenei says death sentence should be issued for Netanyahu, not arrest warrant A handout picture provided by the office of Iran's supreme leader Ayatollah Ali Khamenei shows him addressing the crowd during a meeting with members of the Basij paramilitary force in Tehran on November 25...
  15. G

    Marais wa Marekani Biden na Trump wapo hatarini kukamatwa na ICC kwa kushirikiana na Netanyahu

    Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
  16. Miss Zomboko

    Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi. Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
  17. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  18. JanguKamaJangu

    LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo. Akizungumza na waandishi wa...
  19. and 300

    Siku hizi husikii kukamatwa magendo au bidhàa zilizo-expire

    Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya! NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
  20. Mtoa Taarifa

    Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
Back
Top Bottom