Naona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi...
Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi
Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko
Freeman Mbowe ametuhumiwa...
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;
1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano...
Mnashangilia na kutukana kukamatwa kwa Viongozi wa CHADEMA kwa kutumia haki yao kukusanyika sio? Jana UVCCM walikua na MKUTANO Dodoma. Hatukusikia upuuzi wowote wa Polisi, walikua wameufyata.
Sasa nawapa taarifa siku na nyie kiongozi wenu akiitwa kupumzika milele msije mkawalaumu Chadema...
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti...
chadema
freeman mbowe
hadhara
katiba mpya
kongamano
kukamatwa
maandamano
mikutano
mikutano ya hadhara
mkuu wa mkoa
mwanza
polisi tanzania
taharuki
viongozi
wananchi
wenzake
Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma.
Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
Rais Yoweri Museveni ameagiza vikosi vya usalama kuwatafuta kwa haraka watu walioneza habari za uongo za kifo chake.Rais Museveni aliyasema haya katika sherehe ya kuapishwa kwa wabunge katika uwanja wa Kololo mjini Kampala.
My Take:
Nahisi kuanza kupata majibu ya kwa nini wakuu waliogopa...
Ni kilomita 3 tu kutoka Ziwa Victoria mpaka Bugarika jirani na Bugando Hospital. maji bado ni changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani poleni kwa ndugu zangu wa Mahina kilomita 7 mnaochota majitiririka kwenye mitaro.
Lengo langu ni kumkumbusha Rais Samia kwamba hata Marais walopita wote...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na silaha atazawadiwa Sh2 milioni.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Juni 23, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro katika mkutano wake na...
CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia.
Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi...
Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa
Rais Samia tafadhali hakikisha...
hadharani
haki za binadamu
kukamatwa
magufuli
makini
makonda
mashitaka
ole sabaya
paul makonda
rais samia
sabaya
serikali
takukuru
tuhuma
utawala
utawala bora
Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka.
Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani?
Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery.
Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
Ijapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi wa Kampuni ya Seif for Tobacco Trading Co. Ltd aliyeingiza nchini makontena zaidi ya mia tano (500) yenye malighafi ya Molasesi iliyoharibika na kuyatelekeza katika...
Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayoichonganisha serikali na wananchi.
UPDATE:
JamiiForums imewasiliana na mwajiri wake (Clouds Media Group) na imehakikishiwa kuwa taarifa hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.