kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Sudan: Viongozi kadhaa akiwemo Waziri Mkuu, Abdallah Hamdok wadaiwa kukamatwa. Jeshi lavunja Utawala wa Kiraia

    Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa tete tangu kushindwa kwa jaribio la kufanya Mapinduzi Mwezi Septemba. Kukamatwa kwa watu hao...
  2. Emanuel Eckson

    Tunisia yatoa Hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Mgombea Urais wa nchi hiyo

    Serikali ya Tunisia imeidhinisha hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kwa mwaka 2019, Nabil Karoui pamoja na kaka yake ambaye ni Mbunge, Ghazi Karoui kwa kosa la kuvuka mpaka wa nchi hiyo kwa njia haramu (pasipo vibali) hali iliyopelekea kukamatwa kwao na kuwekwa kizuizini...
  3. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  4. Ben Zen Tarot

    Uganda: Watakaonunua chapati tano kukamatwa

    Ukistaajabu ya Musa utashanga ya mengi katika hali ya kushangaza polisi kwenye wilaya ya Moroto kaskazini mwa Uganda wametangaza kukamata mtu yoyote atakayekutwa akinunua chapati zaidi ya tano kwa mara moja. Chanzo cha kamata kamata hiyo ni kutokana wakazi wengi wa wilayani humo kutumika...
  5. isajorsergio

    Facebook yazindua "tools" kuwasaidia Wananchi wa Afghanistan wanaofuta taarifa zao mtandaoni kwa hofu ya kukamatwa na Taliban

    Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii. Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
  6. B

    IGP Sirro anasema hawezi kumkamata Askofu Gwajima mpaka apate barua. Je, hivi ndivyo anafanya kwa makundi yote?

    Hayupo ambaye hajavishuhudia vimbwanga vya askofu Gwajima kuhusiana na Corona na Chanjo zake. Hadharani tuhuma za Gwajima kumhusu mheshimiwa Rais na wasaidizi wake zimesikika. Haya yakiendelea ni kweli kuna Watanzania wasio na hatia wanaendelea kuwekwa hatarini kuhusiana na ugonjwa huu...
  7. Nyani Ngabu

    Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

    Askofu Gwajima should not be arrested and here is why: His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid. Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions. They have the right to be stupid and to be wrong. Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed. He and his stupid flock...
  8. Khadija Mtalame

    IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  9. Naipendatz

    #COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima -- Butiama. Waziri wa...
  10. Determinantor

    Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
  11. Cicadulina

    VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
  12. Omusolopogasi

    Katiba mpya: CHADEMA inakwendaje mbele baada ya Mbowe kukamatwa?

    Wana-CHADEMA, Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa! Kwa sababu serikali inasema imemkamata kwa sababu nyingine na wala siyo suala la katiba mpya, kwa nini viongozi...
  13. M

    Tapeli Mkenya Abdul Juma ndie alipelekea Hushpuppi kukamatwa

    Mzuka wanajamvi! Yule Tapeli maarufu kutoka Nigeria alipata umaarufu kwa kugonga vichwa vya habari duniani kwa utapeli mitandaoni na kujipatia kiasi kikubwa cha mamilion ya dollars za kimarekani Ramon Abbas almaar Hushpuppi juzi Alhamisi kafunguliwa kesi rasmi na FBI. Ila cha kushangaza...
  14. Francis12

    Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

    Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu. Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na...
  15. Mzalendo_Mwandamizi

    Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  16. American Ninja

    Kukamatwa Ugoni kulivyotaka kukatisha uhai wangu

    Siku hiyo kidume cha mbegu nilikuwa nakula mzigo wa mke wa mtu kwake, Mumewe alikuwa Safari. Baada ya kumaliza kula mzigo mzee nikawa nimejilaza pale kitandani huku mikono yangu nikiwa nimeiweka kwenye kakitambi kangu, nikiangalia feni juu, lililokuwa linanipa upepo. Mpango ulikuwa ni kulala...
  17. Shujaa Mwendazake

    #COVID19 Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

    Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi, kwani si jambo geni humu na litaunganisha uzi na nyuzi zingine kama hizo. Mods Nakimbilia moja kwa moja...
  18. Shujaa Mwendazake

    Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  19. Pascal Mayalla

    Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
  20. N

    Lema awananga wanaodhani kuyapatia maisha na kukalia kimya kukamatwa kwa Mbowe

    Godbless Lema. Ambaye kimsingi ameonyesha uoga na kukimbia nchi yake kuogopa makabiriano ya kisiasa ameibuka na kuwananga watu walionunua IST na VITZ huku wamenyamaza na wameshindwa KUANDAMANA kushinikiza Mbowe kuachiwa. Yeye kama alinunuliwa v8 na kodi zetu atulie. Sababu kabla ya ubunge...
Back
Top Bottom