Nauliza kama boss ana taarifa, au habari inayohusu kamata kamata ya askari wake?
Kama anayo taarifa, je amechukua hatua gani kuwasaidia, au ukishamlipa mtu akufanyie kazi basi litakalompata huko mbeleni ni juu yake?
Au askari wake wamevuka mipaka ya kile alichowaagiza, kwa kuanza kumshambulia...
Peace,
Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali.
Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na...
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.
Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.
Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
Kufuatia habari zilizoripotiwa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushikiliwa kwa katibu wa CHADEMA kanda ya kati Emmanuel Masonga, Wakili Boniface Mwabukusi na na kada maarufu wa CHADEMA Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa...
Getty ImagesCopyright: Getty Images
Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe...
Kila ninapotafakari chanzo cha kushindwa kesi na kukamatwa mali za Watanzania, maswali ni mengi majibu ni machache. Je, ni kwa sababu wakati tunaingia mikataba na hizo kampuni tunaangalia upande wa faida tu bila kuona risk ya vipengele kwenye mkataba? Au ni kwa sababu vipengele vya kujitoa...
Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe.
Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
amavubi gfsonwin
baraza
faini
jirani
kibali
kifungo
king'asti asprin
kufunga
kukamatwa
kutoka
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
marufuku
miezi
milioni
milioni 1
nchi
nchi jirani
nywele
sheria
tanganyika
wanaume
wanawake
zanzibar
Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
Hii imetokea mtaa wa Lumumba, haifahamiki kulikuwa na nini?
Jamaa walikuwa wamekunjana kama ugomvi katikati ya kundi la watu.
Hamadiii, difenda ya polisi yawasili na askari kuanza kupiga risasi hewani.
Jamaa mmoja (mwanaume wa dar ) anakamatwa na kuanza kula makofi kisha anapakiwa kwenye gari...
Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366).
CAG anaripoti...
Kauli ya Rais huyo wa zamani inakuja wakati Waendesha Mashtaka wakitarajiwa kukamilisha Mashtaka dhidi yake juu ya kutoa Rushwa ya Tsh. Milioni 300 ili kumnyamazisha Nyota wa Filamu za Ponografia asitoe ushahidi pamoja na kuwataka Wafuasi wake kuandamana kupinga Urais wa Joe Biden.
Trump...
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.
Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.
Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
Mwanakijiji wa Kitongoji cha Ipota, Kijiji cha Ikuba, Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Shija Ntumbili anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na meno ya Tembo mawili.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Ally Hamad Makame amewaambia Wandishi wa Habari kuwa mtuhumiwa huyo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.