kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Angola: Mahakama yaagiza kukamatwa Mali za Tsh. Trilioni 2.3 za Mtoto wa Rais Eduardo dos Santos

    Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
  2. G

    Tetesi: Yanayoendelea Simba yana uhusiano na kukamatwa kwa unga

    Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo. Mda utaongea zaidi
  3. peno hasegawa

    Ndege aina ya Airbus A220 ya (ATCL) ilifikaje nchini Uholanzi na kukamatwa?

    Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi? 1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi 2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa 3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa 4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
  4. Replica

    Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

    Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
  5. Replica

    Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea. Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
  6. BARD AI

    Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  7. Jidu La Mabambasi

    Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania. Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba). Hii ni syndicate. Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
  8. sky soldier

    Njaa haina adabu, uliwahi kukamatwa na njaa kisawa sawa na uliituliza vipi ?

    Kuna watu wanakula mahindi ya kuchoma jioni kwa kuburidisha vinywa lakini kwa mwengine ni kwajili ya kuokoa maisha, njaa isikie tu. Kuna kipindi njaa ilinipiga kwa siku inayokaribia ya pili bila kuweka chochote tumboni, nililegea sana ila nilijifanya nina nguvu nisichekwe na wenzangu...
  9. BARD AI

    Kibatala azungumzia kukamatwa ofisa TRC aliyepinga tozo

    Peter Kibatala, Wakili anayemtetea Jonas Afumwisye, aliyekuwa Ofisa wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema, mtumishi huyo aliyefukuzwa kazi, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Afumwisye alifukuzwa kazi Agosti 19, 2022 na Bodi ya TRC kwa madai ya kupinga tozo za...
  10. Lady Whistledown

    ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Africa ya Kati

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013 Nourredine Adam, kiongozi wa kundi la Popular Front for the Rebirth of...
  11. Kitimoto

    Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
  12. Lady Whistledown

    Siha: Madiwani waugomea mradi wa Maji, Mbunge aagiza kukamatwa kwa Mkandarasi

    Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango. Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
  13. M

    KWELI Isaac Mnurwa akamatwa kwa tuhuma za kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg

    Inadaiwa kuwa kijana Isaac Mnurwa amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma zinazodaiwa ni kusambaza video ya Rais Samia akiwa na Peter Greenberg. Tunaomba kufahamu ukweli wa taarifa hii.
  14. M

    Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

    Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
  15. Consultant

    Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

    Hatua ya wabunge 19 kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge licha ya maombi yao kupinga kufukuzwa uanachama na CHADEMA kutupiliwa mbali na Mahakama ni aibu na fedheha kwa Bunge. Prof. Safari anasema hawa watu wanapaswa kukamatwa kwa kudharau uamuzi wa Mahakama. Chanzo: Gazeti la Raia Mwema...
  16. Papaa Mobimba

    Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  17. JanguKamaJangu

    Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  18. John Haramba

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022. Nimeongea na...
  19. M

    Bila Upelelezi kukamilika hakuna kukamata, ukiachiwa na Mahakama hakuna kukamatwa tena

    Tunaposema kila Mtanzania amuunge mkono Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan tunamaanisha mambo kama haya, Niwe mkweli tu tangu Uhuru Mama huyu ni watofauti sana hebu ona alichofanya kwenye magazeti na hii, === Bunge limepitisha Mabadiliko muhimu ya Sheria kupitia muswada wa mabadiliko...
  20. Idugunde

    Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
Back
Top Bottom