Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi.
Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...