Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo.
Hii ni nchi...
Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu.
Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo.
Njia pekee ya kufikisha...
Hawa wajomba, wanaenda kujaa kwa fally ipupa mil 65, mpaka wakafa 1500.
Walikua wanagombea kuzama ukumbini au wako kati.
Haya usiulize, nishahudhuria Diamond jubilee, Silent inn, leaders sana tu acha huko duniani.
Hawa jamaa hawa, sasa kinachonisikitisha wananapiga makelele tu wanaonewa tu na...
Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati.
Source: East Africa Radio
My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
Habari za Sabato!
Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa.
Ingawaje wafuasi wake wanahangaika kupambana, na kumtia moyo lakini jitihada Zao zimefua dafu kuondoa...
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.
Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
Habari zenu, mke wangu amekuwa akifanyiwa vipimo wanapo mchoma sindano kupata damu KWENYE mshipa damu I nachukua masaa mwili kukata, je itakuwa ni tatizo gani na je nini tiba yake kama ni tatizo?
Wana JF mmelala?
Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa.
Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares salaam, mara Moja Kwa week, ambayo ni Alhamis. Na nauli Huwa ni elfu 36 third class na elfu 48 second...
Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine.
Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
Biashara ya kukata na kuchongesha funguo ni shughuli muhimu katika maisha ya kila siku, hususani katika miji mikubwa ya Afrika. Hata hivyo, biashara hii, kama nyingine yoyote, inaweza kutumiwa vibaya na watu wenye nia mbaya. Ni muhimu kufahamu jinsi biashara hii inavyofanya kazi na hatari pamoja...
Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar
Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote
Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa hawana insurance
Huu ni uhuni sijawahi kuuona, kwanini mkate tiketi walipe hela zao
Mpaka baadae...
Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia
Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema
Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa...
Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi.
Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.
Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu.
Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua...
Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme
.acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena.
Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na milele.
Sijui niwatukaneeeeee,,😠😠😠
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.