kukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  2. Zogolo1550

    Tunatoa huduma ya kukata miti maeneo ya ujenzi

    Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni nafuu sana Mawasiliano: 0758700852/0694340728
  3. aBuwash

    Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  4. Ben Zen Tarot

    Msije kujaribu kukata tamaa

    Usimdharau mtu hata kwenye simu.
  5. Jeep wrangler

    SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi?

    Naomba kuuliza je SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi kwa njia ya mtandao au tovuti? Msaada tafadhali
  6. TUKANA UONE

    Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

    Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu! Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!  Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda KAOLE SANAA GROUP
  7. amshapopo

    Safari ya mafanikio vs mishale mingi, kukata tamaa, kukatishwa tamaa,anasa za mwili etc ni ngumu kutoboa kama haupo imara!

    Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo. Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
  8. T

    What do you see yourself in the Midst of Poverty, Suffering and Despair; Katikati ya Kukata Tamaa

    Ndani ya dimbwi la umasikini wa kutupwa, Katikati ya shida, magonjwa, sononesho la kutisha. Baada ya kukatishwa tamaa na watu uliowahamini, baada ya jamii kukuambia huwezi, huwezi kutoboa, huna uwezo, hizo ni ndoto, baada ya kuwa betrayed, je bado unafikiri utaendelea kusimama? bado unafikiri...
  9. Mturutumbi255

    Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  10. N

    Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  11. King Jody

    Nachukizwa sana na baadhi ya watu wanye tabia ya kukata tamaa

    Salaam kwa wote, Ni kweli maisha yana changamoto nyingi hilo halina ubishi, Pia ni kweli tumeumbwa kila mmoja na uwezo wake wa kukabiliana na changamoto za maisha. Point yangu ya msingi ni kuwasihi watu wenye tabia ya kukata tamaa haijalishi unapitia chagamoto gani, iwe ni magonjwa, changaoto...
  12. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

    Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa. Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
  13. Meshaki Richard

    INAUZWA Mashine za kukata nyama kwenye bucha

    Hello Unahitaji mashine ya kukata nyama kwenye bucha pata kwetu na waranti ya mwaka mmoja Mashine tunauza kwa 1300000 tu tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda Namba zetu 0774150519 Instagram follow Kariakoo machines
  14. Doto12

    Kukata umeme usiku huu inaashiria nini?

    Ni usiku mwingi Hakuna mvua hakuna upepo Jamani wanasiasa unatutafuta nini?
  15. ngara23

    KERO TANESCO mmeanza kukata umeme mchana na kurudisha usiku wa manane

    TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji. Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
  16. Maleven

    Pamoja na mvua kukata siku chache, Goba maji yanatoka kwa mgao, mnakaa wiki maji hamna

    Sasa ukitaka kufatilia kweli shida iko wapi? Kwanini hakuna anaewajibika? Mvua zimenyesha mpaka mafuriko lakini lao wiki ya pili maji yametoka mara moja tu. Mtetezi ni nani? Kwakweli hii sio fair kabisa
  17. P

    SoC04 Namna nilivyotaka kujiua baada ya kukata tamaa ya kuishi

    Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa..... www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/ Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
  18. Technophilic Pool

    Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  19. gubegubekubwa

    Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili. ==== Serikali...
  20. gubegubekubwa

    Barabara kuu Dar-Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
Back
Top Bottom