Habari za wakati huu wadau wa elimu
Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024....
Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa
Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
Aisee jana mida ya saa 7 usiku niliumwa tumbo la kuvuruga nikaenda chooni kupush naiikaanza choo ngumu hapo tumbo linauma sana baadae nikaanza kuharisha huku tumbo inauma sana je nitumie dawa gani ili nizuie kuharisha
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.
Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana.
Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi...
Habari zenu ndugu zangu, japo hatufahamiani ila uwepo wenu humu imekuwa ni faraja kubwa sana kwangu kwani mmekuwa watu wa kunipa furaha na kunifariji mara kwa mara,.
Leo nimeona ni bora nisiwaache mkafa bure bila ya kulitambua hili,
Ndugu yangu KUNA WAKATI KUKATA TAMAA HUWA NI CHAGUO SAHIHI...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video fupi ikieleza kwamba kukata mauno ni hatari, kunaweza kuwa kisababishi cha ganzi kwa mwilini.
Tazama Video hapa chini:
Je, kuna ukweli hapa?
---
Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata wakachukua mzigo nimerudi geto kulala, naombeni idea mishe gani nipige hapa town nisikose hela ya kula.
Kwa anayetaka Taarifa kamili juu ya Wabunge kukerwa na watoto kukata viuno katika Mahafali yao, tafuta copy yako ya Gazeti la Habari Leo la leo ukurasa wa Nne (4) ili uyajue mengi.
Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara.
Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza.
Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya.
Baada ya...
Wadau ipo hivi.
Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini
Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
Wakuu habarini!
Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri.
Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano yalikuwa kifanyike ijumaa hii. Nimejikuta nina mawazo Sana kwani hela niliyoiandaa kwa ajili ya kuitolea...
Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba;
1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe!
2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua.
3. Danadana za Katiba mpya.
4. Naibu Waziri na ajali yenye utata.
5...
Kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo ameeleza kuhusu tukio la mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Marco Samwel (32) ALIYEJIKATA NA KUONDOA KABISA UUME WAKE.
Kamanda Mutafungwa ameeleza kuwa lengo la kijana huyo...
Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho wa mwanajeshi wa Urusi nchini Ukraine) akimkata kichwa mwanaume aliye hai aliyekuwa amevaa sare ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.