Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?
Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni.
Enerhoatom...
Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
• Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo
• Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako.
• Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu.
• Upo tayari kwa mabadiliko yoyote.
• Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022.
DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII
Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea
Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance.
Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga?
Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto wake wa kwanza.
Baraza anasema suala la upangaji uzazi katika ndoa linafaa kuwa la wapenzi wote na...
Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa mchakato wa kisheria dhidi yao bado haujakamilika kwa kuwa rufaa wanayojipanga kuikata bado...
Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa.
Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani.
Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa.
Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
Habari za wakati huu wana JF!
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi?
Mwenye kufahamu...
Wana JF habari za muda huu?
Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
" FORREST GUMP"
Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk.
Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote.
Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko.
Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka.
1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine!
2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa!
3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.