Habari wana JF,
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha.
Hii kitu...
Moja kwa moja niende kwenye hoja kuu
Na bila kupepesa maneno nalitaja kabisa shirika husika...ZANZIBAR INSURANCE ni zaidi ya wasumbusu
Tena nadiriki kabisa kuwaita matapeli wakubwa msiojua thamani ya mteja wenu
Sasa ni nini maana au faida ya kuikatia gari bima ya Comprehensive?
Yaaan nipate...
Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
Habari ndg wanajamii!
Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
Mashahidi 10 na vielelezo nane vinatarajia kutolewa katika kesi ya kukata nyaya za umeme katika Soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ya Sh316 milioni, inayowakabili wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbagala na Tandika.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Erick...
Benki zina wajibu mkubwa sana juu ya kuheshimu misingi ya kazi zao na mikataba na miongozo ya kuanzisha kwake. Ambao hamjashtukia hivi karibuni kumekuwa na wimbi la watu Kupokea meseji za makato mbalimbali kutoka kwenye mabenki kama CRDB, NMB, na etc.
Kwa msiojua kuna namna mamlaka za serikali...
Wadau habari za muda. Naomba tusaidiane hapa, maana kuna mtu kanifata kuniuliza kitu ambacho nimeshindwa kumjibu.
Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita Waziri Wa Fedha Bw. Mwigulu alichukua maoni ya wadau kuhusiana na tozo za kiserikali kwenye huduma za kibenki ambazo zililalamikiwa sana tangu mwaka...
Mfanyabiashara Amos Lusekelo na mwenzake Mohamed Mbonde wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kuisababishia hasara Shirika la Umeme (Tanesco) ya Sh2.3 bilioni.
Lusekelo ambaye ni mkazi wa Sinza na Mbonde, wamefikishwa mahakamani hapo...
Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma
Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022
Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
Wapwa naombeni msaada. . Dirisha la kukata rufaa limefunguliwa RASMI HELSB tar 13/11/2022 .Nimepata mkopo ila sijaridhishwa na kiasi cha mkopo nilipata . Je naweza kukata rufaa?
Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote.
Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta...
Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote.
Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni...
Habari ya leo Jumapili,
Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana.
Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips.
Ningependa kujua bei, na inapopatikana au connections yoyote.
Nipo kanda ya ziwa, unaweza kuja DM au sms/text kupitia 0743051733
Wajameni, hali ni ngumu.
Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa.
Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako.
Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu.
Mara simu haipatikani, amekublock!
Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa...
Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita.
Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
Mzuka Wanajamvi!
Waziri wa mambo ya nje Urusi Sergey Lavrov amesema Urusi haipingi Wala kukataa kukaa chini kwenye meza ya mazungumzo Negotiation table na Ukraine.
Ameendelea kutahadharisha jinsi wanavyojichelewesha kwenye huu mchakato ndivyo mambo yatakuwa magumu kwao kufikia makubaliano na...
Mgogoro wa Ardhi.
Jamaa amepewa ushindi mahakama kuu, awali nilishinda kesi mahakama ya Ardhi. Yeye alikimbilia high court, akapewa ushindi. Hapa natakiwa nifanyeje.
Msaada wa utaratibu. Ninahofia atakuja kubomoa nyumba yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.