Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu..
Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy.
huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea...