kukataa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Public Servant kukataa uteuzi wa Rais, not only embarrassment, but also insubordination of the Highest Order! They deserve summary dismissals

    Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of the highest order or degrees!. Wahusika hao, they deserves summary dismissals with no right to...
  2. JanguKamaJangu

    Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  3. Crocodiletooth

    Inawezekanaje sekta moja ya umma kukataa taarifa za kiupelelezi za sekta nyingine ya umma?

    Hili lipo kwa kiasi kikubwa sana ndani ya taasisi zetu za umma yakiwepo mawizara mbalimbali ikiwepo Ardhi na nyinginezo Unaweza kuwa na tatizo labda mfano, suala la ardhi kutapeliwa ukafuatilia suala hilo mpaka ukalipeleka katika vyombo vya umma vya upelelezi navyo vikafanya kazi yake vizuri...
  4. Mzalendo Uchwara

    Hivi Bunge linaweza kukataa kuidhinisha jina la Waziri Mkuu linalopendekezwa na Rais?

    Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata. Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa? Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
  6. MSAGA SUMU

    Diamond kaonesha msimamo sana kukataa kutumbuiza Qatar kwa bilioni 2

    Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform. Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
  7. M

    Aibu kubwa kwa taifa letu kuwa na taasisi kama Tahliso ambayo haijui kuwa Chadema wana haki kikatiba kukubali au kukataa hoja za kikosi kazi

    Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara. Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya...
  8. 42774277

    Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

    Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member. Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
  9. mama D

    Kuhani Musa Richard Mwacha - Malezi mabovu, kujamiiana hovyo kunakopelekea kukataa mimba/kutelekeza watoto ni moja ya vyanzo vya panyaroad

    Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
  10. K

    Eric Hamissi aliyekuwa DG wa TPA kaonewa baada ya kukataa kuhonga wanasiasa kama enzi za zamani

    WNAJAMVI, huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa. Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
  11. JanguKamaJangu

    Polisi wadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa aliyepotea katika mazingira tata hadi wapewe hela na ndugu

    Askari wa Kituo cha Polisi Misigiri katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wanadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa tukio la Stella Jingu (38) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha miaka miwili iliyopita wakitaka kwanza wapewe fedha na ndugu wa mwanamke huyo. Inadaiwa askari hao (majina...
  12. Balqior

    Western Union kukataa transaction yangu kisa herufi moja tu, hivi imekaaje kwa wenye uzoefu?

    Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa...
  13. JanguKamaJangu

    Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo. Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo. Kauli hiyo...
  14. mama D

    Kukataa mimba, kutelekeza watoto na kuwanyima huduma au kutowahudumia — wanaume mnakwama wapi?

    Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
  15. S

    Je ni sahihi kukataa kumtibu mtu kisa ni mtu mzima unayemuheshimu

    Kwa watu wazima rika la mama yako either ni mama wa rafiki zako wakaja hospitali kupata huduma na wakakukuta wewe ,japo na madaktari wengine pia wapo, na matibabu yao yanataka kuwa expose sehemu zao za siri, je ni sahihi kukataa kuwatibu na kuomba daktari mwengine amtibu kwa kigezo cha...
  16. N

    Asante kocha pablo kukataa offer ya orlando pirates

    Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba Siku nasikia kocha huyu wa zamani...
  17. FRANCIS DA DON

    Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  18. MGOGOHALISI

    CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  19. Jerlamarel

    Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

    Padre alikataa kwenda kumzika muuamini (sababu bado haijajulikana), waumini wamezika baada ya kumaliza kuzika wakaenda Parokiani wakachoma kanisa kwa hasira.
  20. M

    #COVID19 Baada ya Rais Museveni kukataa Wanafunzi wasirudi Shuleni upesi kutokana na UVIKO-19 Waganda wamebuni Mbinu iliyomlazimu afungue Shule

    "Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu...
Back
Top Bottom