Habarini za asubuhi. Kama mdau wa elimu sipendezwi na hawa watengeneza maudhui wa mtandaoni ambao wamekua wakikashifu wasomi na elimu kwa ujumla.
1. Ni ukweli usiopingika kwamba wasanii wengi imeonekana wamefanikiwa kuliko wasomi walio wengi lakini haimaanishi elimu haina umuhimu kwa kizazi...
Anonymous
Thread
dotto magari
kukataa
magari
shule
watoto
watoto wengi
wengi
Shalom,
Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida.
1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake.
2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau.
3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
Salaam
Lissu nilikuwa nakuheshimu sana.
Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA.
Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini?
CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia.
Hadi...
Habari za wakati huu wadau na wana familia wote.....
Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia.
Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na...
Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025?
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu...
Mangungu ni Kama alishtukia kamchezo ka mhindi wa Bombay alikotaka kukafanya ili na yeye akae pembeni afanikishe jambo lake lakini mtoto wa mjini akausoma mchezo kwa umakini na kuupangua!
Bwana kanjibhai karudisha wajumbe wa bodi wale wale kina try again Sasa unajiuliza kulikuwa na haja Gani ya...
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira
Ila huyu kocha anabagua wachezaji
Tunaomba chama cha Fat...
Sio utani.
Wakuu heshima kwenu.
Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC.
Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna...
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea.
Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai.
Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
Shalom,
Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.
Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na...
Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana Raisi Samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli.
Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki marehemu Magufuli wao hawatamjibu watamuachia Mungu ajibu dhihaka zao,
Nina hakika kuna kigogo alitumia...
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji.
Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu.
Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere.
nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.