ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME
Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu.
So, Mgao unaoendelea wa...
Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika wafuate walau zamu ya mgao wa kimyakimya.hayo ya Bashiru sizani kama yanatusaidia.
Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni.
Hebu...
Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame.
Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua.
Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi.
Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
Ndugu wahusika,
Mimi ninatatizo la hizi aina ya MITA za TANESCO Mpya, Yaani maeneo yangu IFIKAPO jioni ya saa 12 jioni mpaka saa 4 usiku ni shida Kila dakika Moja umeme unakatika na kuwaka mfululizo, cha ajabu majirani zangu umeme upo mda wote.
Nilijaribu kuulizia Taneco wanasema aina ya MITA...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua kwani kila umeme unapokatika jina linaloibwa ni lake.
“Kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua, kila umeme unapokatika jina lililoimbwa ni la kwangu wala sio...
Tukiendelea na filamu yetu ya Royal tour,
Hebu niwape kisa kimoja kilichofanya Leo niandike kuhusu huku kukatika kwa umeme,
Mwaka 2001 nilibahatika kufanya kazi kama mashine operator kwenye kiwanda Cha mkonge,
Kwa Sababu ambazo sikuelewa pale kiwandani hapakua na Auto Generator ambalo lingeweza...
Rais Samia alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi huko Marekani[ U.S.A.] alipata wasaa wa kuwahutubia waTanzania wanaoishi huko.
Alipokuwa anatoa hotuba yake palitokea tukio moja lililomfanya akumbuke nyumbani; ingawa alikuwa ughaibuni nalo lilikuwa pale UMEME ulipokatika wakati akitoa...
Inashangaza sana kuona kiongozi wa Wizara nyeti kiasi hiki anatangaza mgao wa siku 10 akiaminisha wananchi kwamba marekebisho yanafanyika na baada ya hapo umeme utakuwa sawa
Cha kushangaza hata baada ya muda huo bado umeme ni wa kusua sua.Je ni sahihi kusema kwamba kazi haikufanyika? Kama...
Kwanza awali ya yote napenda uelewe kwamba Kichwa Cha binadamu kinaunda na vishikizi vipatavyo 100,000 Hadi 300,000 ambapo kuptia vishikizi hivi nywele huota
Nywele huota kutokana na sababu zipatazo mbili kuu ambazo ni pamoja na homoni na virutubisho ikiwemo vifamin mbalimbali na madini ya...
Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana.
Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
Habari Ndugu zangu popote pale mlipo
Leo nimeingia Ofisini kwangu Mida ya saa 3 asubuhi ninakuta umeme umekatika. Na mpaka sasa ninapo andika ujumbe huu saa 7 na Daakika 55 mchana bado pakavu. Ndo najiuliza je, Tumesharudi Misri kwenye swala la upatikanaji wa umeme Mjini?
Maana katika kipindi...
Wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black.
Cha kushangaza nisipopaka super black nywele zinakuwa nyekundu (imagination). Hii ilipelekea kuwa mtumwa wa super black, hali hii inaniboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.