kukidhibiti nikutumia jeshi na polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA ndio chama kikuu nchi hii namna ya kukidhibiti nikutumia jeshi na polisi

    Makamu Mwenyekiti Bara CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho ndicho cha siasa kikuu nchini Tanzania na hakipaswi kulinganishwa na CCM, kwa kuwa njia pekee zinazotumika kudhibiti chama hicho ni kupitia Jeshi na Polisi, badala ya hoja za kisiasa. Ameyasema hayo leo, Januari 22, 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…