DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Makamu Mwenyekiti Bara CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho ndicho cha siasa kikuu nchini Tanzania na hakipaswi kulinganishwa na CCM, kwa kuwa njia pekee zinazotumika kudhibiti chama hicho ni kupitia Jeshi na Polisi, badala ya hoja za kisiasa.
Ameyasema hayo leo, Januari 22, 2026, akizungumza na waandishi wa habari.
Ameyasema hayo leo, Januari 22, 2026, akizungumza na waandishi wa habari.