Duniani SIRI hakuna tena, kila kitu kipo wazi hata na uliyemtumia meseji kapiga screen shot siku ukijisahau akuumbue.
Usiri ulikuwa unaepusha vitu vingi sana,(Walikuwa wanaumia wacache kuliko sasa hivi ukiweka SIRI wazi ndo inaumiza zaidi kuliko ungetoa habari kwa SIRI au ukaacha).
sasa hivi...
Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba.
Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita.
Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
UTANGULIZI
Migogoro ya wakulima na wafugaji imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo vijijini na mahusiano baina ya wakulima na wafugaji katika nchi nyingi zilizo katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara. Pamoja na kuwa na juhudi za maksudi za kutatua migogoro hii bado kumekuwa na kukosekana...
Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda.
Kama kuna Watanzania wanamfanyia dhihaka hii bila sababu yoyote, yani anapita tu mtaani unamdhihaki...
Niende moja kwa moja kwenye mada kama maeneo nayoishi kumekuwa na vitendo vya wizi mchana na usiku ila style wanayotumia wizi ni kama aina mpya flani kwani kama miezi miwili kuna wezi walivamia usiku kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuiba bila kuvunja grill yaani walifungua kufuli kama kwao...
Wakati Waziri Mkuu anapoenda kuwawajibisha maafisa manunuzi waliopandisha bei za bidhaa za tiba asisahau kiini cha tatizo yaani wafanyabiashara walioonesha bei za bidhaa hizo kuwa juu.
Mfano haematological blood analyser ya mil 7 kuuzwa kwa milioni 15!!
hapa msumeno lazima ukate kotekote yaani...
Ndugu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Zilikuwepo taarifa hapa nchini kuwa Mwezi wa kuhitimisha mfungo mtukufu wa Ramadhani umeonekana katika baadhi ya maeneo nchini (Kagera ni mmojawapo) jioni ya tarehe 1/5/2022, Lakini viongozi wakuu wa BAKWATA hawakuutangazia...
Wakuu,
Niende kwenye hoja moja kwa moja.
Wiki mbili zilizopita nilikosea kutoa muamala wa pesa kwa wakala wa halopesa kutoka kwenye line yangu ya halotel na dakika hiyo hiyo nikawapigia huduma kwa wateja na wakaisimamisha na kisha wakanitumia namba ya uthibitisho.
Na maelezo niliyopewa ni...
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!
I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa!
ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
Habari za jioni Jukwaa,
Naomba msaada wa kuzuia wezi wa nyaya za umeme, mwezi mmoja umepita nimefanya wiring kwenye nyumba yangu na sasa inanibidi nirudie tena hii ni baada ya mwizi wa waya kuingia na kukata kata nyaya kwenye main switch na juu kwenye dali, inasikitisha sana pale unapofikiri...
Katika harakati za kutafuta mkate kumekuwa na fitina nyingi na majungu miongoni mwetu.
Sasa katika biashara zangu nikapata bro ambaye kila ikitika jioni anapiga simu kuwasema wenzake mabaya. Nilimvumilia mara ya kwanza tu,mara ya pili nimemuunga conference call (mkutano) na mtu aliyekuwa...
Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba.
Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu...
Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi!
Hii hali haikomi?
Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.