Unakaa na kutumia elimu ya PhD kuweka Kodi kwenye matangazo ya akina Juma Lokole! Mtu anapost kutangaza Shanga na Chupi halafu eti naye unamfikiria kama Chanzo cha Mapato!
Tumechoshwa na watu wanaokaa ofisini na kufanya kazi kwa mazowea. Kwanza ilipawa tuelezwe ni kigezo gani kitatumika kumpima...