Asalam!
Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji.
Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
Kwa wale watumishi wa umma ambao taasisi zao huwalipa posho kila mwezi(mfano JWTZ, Polisi, n.k), wakati umefika waruhusiwe kukopa kupitia posho hizo kwa kukatwa sehemu ya posho zao kulipa mikopo watayochukua.
Tofauti na mikopo kupitia mishahara ambayo huwa ni ya muda mrefu (miaka 7 mpaka 8)...
Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti.
Sasa kwa nchi yetu, je, kuna limit ya kiasi cha pesa ambacho serikali inaruhusiwa kukopa? Au kuna limit kwa...
DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara.
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
Wasalaam,
Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake.
Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mnunuzi yeyote anapochukua Pamba katika Chama cha Msingi, ni lazima Mkulima awe amelipwa ndani ya muda usiozidi saa 48, na watakaoenda kinyume watafutiwa Leseni.
Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Robert Maboto kuhoji ni kwa namna gani Wizara...
Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu.
Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi?
Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
Habari,
Ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi?
Msaada please [emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.