Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni.
Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu.
Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo:
1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.
TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi
●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu
●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
Habari za asubuhi JF people?
Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.
Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya:
Kwa kila shilingi...
1. Kumpoteza mteja
Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu. Mara nyingi mteja akishakopeshwa pesa au bidhaa haji tena kwenye biashara husika ili kukwepa kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.