kukopesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BoT: Kukopesha fedha bila leseni faini Tsh. Milioni 20, jela miaka 2

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
  2. Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  3. Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
  4. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  5. Atakayenisaidia kufungua microfinance ya kukopesha wajasiriamali nitampa pesa

    Hi ladies & gentlemen! Vipi hii kitu inahitaji mtaji kiasi gani, na mizunguko yake ikoje mpaka kukamilika? Aliye tayari aje pm tuyajenge?
  6. Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya: Kwa kila shilingi...
  7. Athari za kukopesha Wateja Bidhaa

    1. Kumpoteza mteja Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu. Mara nyingi mteja akishakopeshwa pesa au bidhaa haji tena kwenye biashara husika ili kukwepa kulipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…