Happy new year .
Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani.
Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies .
Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
Wakuu,
Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF).
Pia, Soma:
Full Time: Tanzania 1 -...
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote.
Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
Ingekuwa kwenye nchi ya kidemokrasia na inayoiishi demokrasia, Waziri Nape Nnauye angeshapoteza uwaziri na ubunge wake muda huu. Angepoteza kwa shinikizo la wananchi au kuondolewa na Rais aliyemteuwa. Lakini hapa kwetu, Nape bado anadunda na anakejeli kwa kusema eti amechakachuliwa video yake ya...
Habari za jioni wana JF..
Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.?
Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI.
interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku.
KUTRAIN KASUKU
mfumo wao wa kutrain kasuku ni...
Hii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa.
Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta.
Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi.
Kinaacha wengi tunaandika tunafuta, unaandika sentensi unafuta u r wrong. What you have just wrote is right
Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata mfanyeje sawa?
Kudadadeki......!!
Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine.
Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili...
Nimeshtusha na ripot ya mwezi wa March 2023, ya TCRA ambayo jina lako limekuwa ni Authory badala ya Authority. Yaani hii ni sawa na mtu kujikosea jina lako mwenyewe. Ni aibu
Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa.
Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea
========
Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial...
Naamini nyote mwabuheri wa afya.
Siku moja iliwadia ya safari yangu ya kuelekea maeneo Minziro na Bus la Kampala Coach la Bukoba
Baada ya kufika ubungo nikakosea nikapanda Bus kampuni hio hio ila linaloishia Kampala Mijini pale Jinja Road mbele kidogo ya Makutano ya Kuelekea Port bell, ila kabla...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kwa awamu hii hatarajii kukosea tena kuhusu Media services act ambayo wadau wa habari wamekuwa wakiilalamikia tangu kuundwa kwake 2016.
Nape amesema hayo alipokuwa akipokea mapendekezo ya wadau wa habari nchini katika...
Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.
Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa...
Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto.
Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana.
Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.
Chanzo: Habari Leo...
Eliyehukumiwa na Jaji kwa kosa la jinai la kuua akiwa mtoto umri wa miaka18, baada ya kukaa jela kwa miaka 38 na kufikisha umri wa miaka 56, limegundulika kwamba hakuwa na hatia na alifungwa kimakosa.
Mahakama kuu ya Federal state ya Mosouri US na wanaharakati wamekusanya $ 1.5m sawa na 3bn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.