Kwa sasa sio ajabu kumsikia Shabiki anamtolea maneno yasiyo na staha Mchezaji kwa vile tu hajaridhishwa na alivyocheza mechi kadhaa zilizopita wakakosa matokeo chanya.
Kwa mfano Mtu atasahau kabisa kuwa Boko ndiye alichangia zaidi ya nusu ya magoli yaliyopelekea timu yao kuwa Mabingwa wa nchi...
Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana mipaka ya uwezo katika utendaji wake; yani mwanadamu ana mapungufu katika namna moja ama nyingine, hivyo kushindwa kufanya mambo fulani kwa ukamilifu- hivyo hukosea (au kufanya makosa).
Na hili ni dhahiri katika nyanja zote tu zinazohusu maisha ya mwanadamu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa akili. Nani hapa ambaye anaweza kukataa kuwa kwa mfano mitaa ya Kongo ilivyo leo pako hivyo miaka...
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda
Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni wito wa ustaarabu kwa Rais Samia, rais Samia Suluhu, sio malaika, ni binadamu kama binaadamu wengine wote na anaweza kukosea kama binaadamu wengine wote, kwa kufanya makosa...
Kanuni ya msamaha ipoje maana kuna mtu nimemkosea sana nimemdhalilisha familia yake sasa kwa bahati nzuri au mbaya nilikuwa nimelewa kiasi cha kutojitambua na hivyo kusababisha kero.
Ila kiukweli sikumbuki hata niliyemkosea sura yake ananitangazia mbovu kitaa ananitafuta sasa shahidi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.