Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi..
Mimi binafsi nimeanza kufuga 2025 nilianza na makoo 3,kisha nikaongeza majogoo 3 chotara kisha nikaongeza...
Habari wakuu .
Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.
Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.
Mwezi wa saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220.
Na bado naendelea kuatamishiae. Lengo kufika mwezi wa kumi na mbili niwe na kuku 1000 wa kienyeji pure.
NJIA...
Wakati Shughuli nyingine za Kitaifa na Kimataifa zikiendelea tujitahidi kula vizuri ili tupate Nguvu zaidi ya kusikiliza na kutoa maoni katika baadhi ya mambo.
Lakini pia hata kama una madeni kiasi gani, una huzuni kiasi gani wewe usiache kula vizuri ili upate Nguvu ya kutatua hizo changamoto...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu.
Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo.
Jogoo hupenda kutembea na majike (makoo) manene ya kuku ni nadra sana kumkuta jogoo kaambatana na kimbau mbau kisichokuwa na...
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji.
Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu...
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa.
Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000
Baada ya majaribio kadhaa ya kufuga hawa kuku sasa rasmi nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji...
Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara.
VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija.
Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani.
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji.
Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/-
Kuku Hawa Ni...
Habarini wakuu wa JamiiForums
Nimekuja katika jukwaa hili kuleta fursa yangu ya kuku. Nimefanikiwa kufuga kuku wengi sana sasa kama mnavyojua baada ya kufanikiiwa katika hatua ya kwanza sasa nataka kusafisha banda kwani kuku nilionao naona wamefikia idadi ya Malengo yangu.
Kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.