kuku wa kienyeji

  1. Victor Mlaki

    Jinsi ya kulea vifaranga wa kuku wa kienyeji kwa lengo lako ni kuwa na kuku wengi?

    Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora Kwanza kabisa napenda...
  2. Rion Jr

    Kuagiza kuku wa kienyeji

    Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje. Na gharama za usafirishaji zikoje ?
  3. M

    Kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji pure, nahitaji wa kuuniuzia tetea nipo Dodoma

    Naamini mko salama wakuu, Mimi pia ni mfugaji mpya. Nimeanza na jogoo mmoja mkubwa sana, nilimnunua kama kitoweo ghafla nikaghairi tokana na ubora wa jogoo huyo, lengo la uzi huu sasa ni kuwaomba ndugu wafugaji kuniuzia mitetea kumi ya adabu ili niendelee kujikwamua. Niko dodoma na...
  4. Ontama

    Msaada kwa anaejuwa chanjo ya kuku wa kienyeji

    Wadau habari za jioni, naomba nijikite kwenye mada Kama inavyo someka, anayejuwa chanjo ya kuku wa kyenyeji tafadhari anisaidie maelekezo
Back
Top Bottom