kuku wa kienyeji

  1. M

    Nahitaji matetea ya kuku wa kienyeji (pure) niko Dar

    Wadau! Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam. Aliyenao naomba anicheck PM.
  2. Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  3. Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  4. U

    Inawezekana kuwachanganya kuku chotara na kuku wa kienyeji?

    Habari wadau? Naomba kuuliza, je, inawezekana kuwafuga kuku chotara na kuku wa kienyeji kwa kuwachanganya katika banda moja? Yaani, unakuwa na banda moja la kuku hao (kienyeji + chotara) ila unawafuga kienyeji wote kwa kuwafungulia nje ndani ya fensi lakini, na jioni unawafungia ndani (Ufugaji...
  5. Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler. Mijini hakuna anaye uliza hilo ni la nini na pia mijini demand ya mayai ni kubwa sana kwenye matumizi ya kawaida na...
  6. Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  7. Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  8. Nahitaji mshirika katika ufugaji kuku wa kienyeji na bustani

    Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu! Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni. Mfano: ■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
  9. Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

    Habari wanaJf. Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia. Kwa anaye hitaji au mwenye...
  10. M

    Biashara ya kuuza kuku wa kienyeji

    Habarini za muda huu wana Jf Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka huu mwezi wa 8 natamani kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka Singida kupeleka Dar...
  11. Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

    KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
  12. I

    Mwenye ufahamu kuhusu biashara ya kuku wa kienyeji au nafaka kutoa Dodoma kuja Dar es Salaam

    Mwenye Ufahamu Juu Ya Biashara Ya Kuku Wa Kienyeji Au Nafaka Kutoa Dodoma Kuja Dar es Salaam. Naomba Tuwasiliane
  13. Biashara ya kuku wa kienyeji

    Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam. Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia.
  14. Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  15. Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

    Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
  16. F

    Kuku wa kienyeji kutoka Singida wanauzwa

    Nauza kuku wa kienyeji kutoka singida. Nauza jumla na reja reja. Pia napokea oda kwa wale wenye mahoteli na migahawa 📞0719805851
  17. Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
  18. Hii ndio Sababu ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari za usiku huu wadau. Baada ya kupata taabu ya kutafuta kuku wa kienyeji wa kula, sasa nimeua rasmi nianze ufugaji mwenyewe. Nimejaribu kuangalia sokoni, utakuta kuku wa elf 17 ni mdogo sana hatoshi mwanaume wa shoka kula, hiyo inaonekana soko la kuku hawa lipo ukizingatia upatikanaji wake...
  19. Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

    Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
  20. FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

    Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…