kukubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  2. sky soldier

    Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

    Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili. Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
  3. Gamba la Nyoka

    Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  4. M

    Si kila teuzi ni za kukubali, nyingine ni za 'kimkakati' ili kukumaliza kisiasa au kwa kuwa tishio kwa mwenye tamaa ya Urais

    Na Siku zote Mwanasiasa makini na mjanja hupenda sana kuwateua watu anaowaona ama ni Tishio Kwake au wanaitaka Nafasi yake kwa Udi na Uvumba ili awamalize vizuri Kisiasa kwa kuwapigisha 'Shoti' katika Nafasi zao ili awatumbue, awachafue na waonekane hawafai kuwa Viongozi na ikibidi hata Wapuuzwe...
  5. S

    WANA-CHADEMA, iko siku tutagundua kosa letu lingine kubwa ni kukubali kujitetea mbele ya hizi mahakama

    Kama ambavyo tulichelewa kufanya maamuzi sahihi ya kutoshiriki chaguzi zinazoendeshwa na hii tume ya uchaguzi isiyo huru,, ndivyo tunachelewae kufanya maamuzi magumu ya kususia mahakama hizi zisizo huru pamoja na vyombo vingine vinavyohisika na uendeshaji wa kesi hasa hizi zenye sura ya kisiasa...
  6. chizcom

    Katika vitu ambavyo nchi nyingi hazijakubali ni kupiga kura kwa mtindo wa kidigitali

    Tuanze kujiuliza kwa nini Digital election vote nchi nyingi zinaogopa ! Tutambue teknolojia kufikia kiwango cha kuhudumia mamilioni ya watu na bila kukosea landa itokee tatizo lilosababishwa na binadamu kama kudukua, kukata mawasiliano na n.k. Nchi nyingi bado zinatumia mfumo ambao kila mtu...
Back
Top Bottom