Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...