Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa...